NAFASI 54 MPYA ZA KAZI HALMASHAURI YA WILAYA YA ILOLO -TUMA MAOMBI SASA - SEPT 2017

Mkurugenzi metendaji wa Halmashauri ya Wilaya ya Kilolo anawatamgazia watanzania wenye sifa kazi zifuatazo
1. MTENDAJI WA KIJIJI DARAJA LA III. (VILLAGE EXECUTIVE III) NAFASI 49.
Sifa za kuingilia moja kwa moja:
1 Kuajiriwa wenye elimu ya kidato cha nne (IV)au sita (VI) aliyehitimu mafunzo ya Astashahada/ Cheti katika moja ya fani zifuatazo:
Utawala, Sheria, Elimu ya Jamii, Usimamizi wa Fedha, Maendeleo ya Jamii na Sayansi ya Sanaa kutoka Chuo cha Serikaliza Mitaa Hombolo, Dodoma au Chuo chochote kinachotambuliwa na Serikali.
Kazi/Majukumu ya kufanya:
a) Afisa Masuhuli na Mtendaji Mkuu wa Serikali ya Kijiji .
b) Kusimamia ulinzi na usalama wa raia na mali zao, Kuwa Mlinzi wa Amani na Msimamizi wa Utawala Bora katika kijiji
c) Kuratibu na kusimamia upangaji wa utekelezaji wa Mipango ya Maendeleo ya Kijiji.
d) Katibu wa Mikutano na Kamatl zote za Halmashauri ya Kijiji
e) Kutafsiri"na kusimamia Sera. Sheria na Taratibu
f) Kuandaa Taarifa za Utekelezaji wa kazi katika eneo lake na kuhamasisha wananchi katika kuandaa na kutekeleza mikakati ya kuondoa njaa, umaskini na kuongeza uzalishaji mali
g) Kiongozi wa wakuu wa Vitengo vya Kitaalam katika Kijiji.
h) Kusimamia. kukusanya na kuhifadhi kumbukumbu zote na nyaraka za Kijiji.
i) Mwenyekiti wa Kikao cha Wataalamu waliopo katika Kijiji
j) Kupokea, kusikiliza na kutatua'jualalamiko na migogoro ya Wananchi
k) kusimarnia utungaji wa sheria ndogoza kijiji.
l) Atawajibika kwa Mtendaji wa Kata.
MSHAHARA: Ngazi ya Mshahara wa Serikali TGS.B 390,000/= hadi 489,000/=
2. DEREVA DARAJA LA II (DRIVER GRADE II). NAFASI 5
Sifa za kuingilia moja kwa moja.
i. Kuajiriwa wenye cheti cha mtihani wa kidato cha nne (IV), Wenye leseni daraja la C, C1, C2, na C3 ya uendeshaji pamoja na uzoefu wa kuendesha magari kwa muda usiopungua miaka mitatu bila kusababisha ajali, Wenye cheti cha majaribio ya ufundi daraja la II au "Level II"
ii. Umri 21- 44
iii. Kazi(Majukumu ya kufanya:
a) Kuendesha magari ya abiria na malori
b) kuhakikisha gari na vyombo vyake vipo katika hali nzuri wakati wote, na kufanya uchunguzi wa gari kabla na baada ya safari ili kugundua ubovu unaohitaji matengenezo .
c) kufanya matengenezo madogo madogo katika gari
d) kutunza na kuandika daftari,la safari "Log- Book" kwa safari zote
MSHAHARA: Ngazi ya Mshahara wa Serikali TGOS. Tshs 300,000/= HADI 419,000/=
MAMBO YA KUZINGATIA
- barua zote za maombi ziambatanishwe na vivuli vya vyeti halisi vya elimu na taaluma vilivyothibitishwa
- nakala ya cheti cha kuzaliwa
- picha 2 pasport za hivi karibuni
- maelezo binafsi
- waombaji wawe na umri wa miaka 18 - 45
- mwisho wa kupokea maombi ni tarehe 19/09/2017
maombi yatumwe kwa
MKURUGENZI MTENDAJI,
HALMSHAURI YA WILAYA YA KILOLO,
S.L.P 2324,
KILOLO

No comments